Isaiah 62:4

4 aHawatakuita tena Aliyeachwa,
wala nchi yako kuiita Ukiwa.
Bali utaitwa Hefsiba,
Hefsiba maana yake Yeye ninayemfurahia.

nayo nchi yako itaitwa Beula,
Beula maana yake Aliyeolewa.

kwa maana Bwana atakufurahia,
nayo nchi yako itaolewa.
Copyright information for SwhNEN